Familia ya Brian Odhiambo inadai haki

  • | Citizen TV
    643 views

    Kwa siku Saba Sasa familia ya mvuvi mmoja jijini Nakuru imekua ikihangaika ikimtafuta mwana wao, Brian Odhiambo, aliyekamatwa na maafisa wa huduma za wanyamapori katika mbuga ya Nakuru.