Gachagua ataka ICC kuchunguza uhalifu wa Mungiki katika miaka ya 90

  • | KBC Video
    408 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa anaitaka mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa jinai ichunguze uhalifu uliotekelezwa nchini na kundi lililoharamishwa la Mungiki katika miaka ya tisini. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika kaunti ya Nyeri Gachagua alitoa wito kwa washirika wake kuiandikia mahakama ya ICC kuitaka ichunguze uhalifu wa kihistoria uliotekelezwa na kundi la Mungiki. Gachagua alikariri haja ya haki na maridhiano huku akiibua wasiwasi kwamba huenda kundi hilo likachipuka tena.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive