Kalonzo asifia uamuzi wa Mahakama ya rufaa

  • | KBC Video
    993 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesifia hatua ya mahakama ya rufaa ya kukataa kuondoa uamuzi wa mahakama kuu ulioamua kuwa muungano wa Azimio ulikuwa na wabunge wengi bungeni ikilinganishwa na upande Kenya Kwanza. Kalonzo amezungumza leo katika hafla ya harusi katika kaunti ya Kiambu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive