Kindiki apuuza fununu kuhusu uhusiano wake wa kikazi na Rais

  • | KBC Video
    4,228 views

    Naibu rais professa Kithure Kindiki amepuuzilia mbali uvumi kuhusu kutojitokeza kwake hadharani na uhusiano wake wa kikazi na rais William Ruto akisema alikuwa amechukua likizo ya wiki mbili kupumzika. Akizungumza huko Mbeere, kaunti ya Embu wakati wa ibada ya kanisani, naibu rais aliwataka wakosoaji wa serikali kutoa suluhu mwafaka wanapokosoa sera za serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive