Machafuko DRC: Waandamanaji Kinshasa waonesha hasira dhidi ya Goma

  • | BBC Swahili
    2,035 views
    Mamia ya vijana wameandamana kwenye moja ya barabara kuu Kinshasaba wakionesha kutoridhishwa na mashambulizi ya kundi la M23 mjini Goma. Walivamia mitaa, kuzuia shughuli na kuchoma matairi barabarani huku wengine wakivamia balozi za Ufaransa na Uganda kwa hasira zao. Huko Goma, mamlaka za Kongo zinapambana kuwadhibiti M23, ambao wanaliita kundi la kigaidi. Wakazi milioni mbili wa jiji hilo wanakabiliwa na hali mbaya. Wamevumilia siku kadhaa bila umeme wala maji ya bomba huku mapigano yakiendelea. #bbcswahuili #DRC #Goma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw