Mbinu ya kujitosa katika mazingira ya misitu kwa ajili ya kuboresha afya 'Forest Bathing'

  • | K24 Video
    48 views

    Katika makala ya wiki hii ya sauti ya mazingira, tunaangazia mbinu ya kujitosa katika mazingira ya misitu kwa ajili ya kuboresha afya ya akili. mbinu hii inayojulikana kama 'Forest Bathing', ni maarufu sana nchini Japan na hivi sasa imeenea kote duniani kutokana na faida zake za kiafya na kimwili. Ingawa ni jambo la kawaida, utafiti unaonesha kuwa mbinu hii husaidia kutuliza akili, kuongeza kinga ya mwili na kuboresha afya ya moyo. Jinsi miti inavyotufaa kiafya na kwanini kenya bado ina safari ndefu katika kurejesha misitu yake