Meneja msimamizi wa IEBC, Kilifi Aisha Akinyi auwawa na majambazi/ Watu wawili kufariki kiwandani

  • | Citizen TV
    2,354 views

    Meneja msimamizi wa uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kilifi Aisha Akinyi Abubakar ameuwawa na majambazi nyumbani kwake katika eneo la utange, kaunti ya Mombasa. Majambazi hao walimvamia usiku wa manane akiwa nyumbani na mwanawe.

    Katika tukio lingine, watu wawili wamefariki baada ya kutumbukia kwenye shimo la kemikali kwenye kamuni ya kuchakata plastiki hapa jijini Nairobi.