Mshukiwa wa mauaji Kikuyu alijisalimisha katika kituo cha polisi

  • | KBC Video
    464 views

    Mwanamke wa umri wa miaka 28 amejisalimisha kwa polisi katika eneo la Kikuyu, kaunti ya Kiambu baada ya kudaiwa kumuua mpenziwe kwa kumdunga kisu. Grace Wacheke Kamenju anadaiwa kumuua mpenziwe Peter Kigwai Gachunga wa umri wa miaka 29 Jumamosi usiku katika kijiji cha Kerwa, eneo bunge la Kikuyu, kaunti ya Kiambu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive