Muhula wa Kwanza 2025

  • | Citizen TV
    758 views

    Shule zitafunguliwa hapo kesho kwa muhula wa kwanza baada ya wanafunzi kuwa kwenye likizo ndefu ya miezi miwili. Ni afueni kwa baadhi ya shule ambazo zilikuwa zimeorodheshwa miongoni mwa shule 348 zilizofungwa kwa kukosa kufikia viwango vya usalama shuleni, kwani baadhi yao sasa zimeruhusiwa kufungua milango yake hapo kesho.