Mwanafunzi mwenye ulemavu wa macho apata alama ya A kwenye KCSE

  • | KBC Video
    92 views

    Mwanafunzi mwenye ulemavu wa macho katika shule ya Vipofu ya Thika alipata matokeo bora na kuibuka miongoni mwa wanafunzi bora katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne mwaka 2024 uliotangazwa hivi majuzi baada ya kupata alama ya A katika mtihani huo. Wakati huo huo, Mohamed Abdikadir kutoka Shule ya Upili ya Eastleigh aliibuka na matokeo bora baada ya kupata alama ya A-, alama ya juu zaidi ambayo shule hiyo imepata katika kipindi cha miaka 8 iliyopita. Mwanahabari wetu Opicho Chemtai na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive