Mwanamke aliyempata baba yake mzazi kwenye Facebook

  • | BBC Swahili
    497 views
    Tamuna Museridze ambaye ameunganisha mamia ya familia zilizotengana kutokana na kashfa ya usafirishaji watoto, hatimaye amempata baba yake mzazi. Tamuna Museridze alifichua kashfa ya ulanguzi wa watoto huko Georgia ambayo imeathiri maelfu ya maisha ya watu. Alisaidia kuwaunganisha mamia ya watu na wazazi wao wa kibiolojia lakini hakuweza kupata wake hadi sasa alivyofanikiwa kumpata baba yake kupitia Facebook. #bbcswahili #georgia #mitandao Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw