Ruto : Serikali imejitolea kuboresha elimu na ushauri ufaao

  • | KBC Video
    79 views

    Rais William Ruto amesema serikali itaelimisha, kuwashauri na kuwasaidia watoto kutumia vipaji vyao ipasavyo, ili waweze kuchangia katika mabadiliko ya nchi. Rais amesema kuanzishwa kwa msururu wa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE kati kati ya mwaka, ni ishara ya uamuzi wa serikali wa kuwapa watahiniwa nafasi ya pili kuafikia ubora wa kitaaluma ili waweze kuwa sehemu ya safari ya mabadiliko ya taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive