Serikali yahimizwa kuwianisha mfumo wa SHA na ile ya kaunti

  • | KBC Video
    16 views

    Wakazi wa kaunti ya Muranga wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na mpango wa bima ya afya ya jamii SHA, wakisema ipo haja ya dharura wa kuwianisha huduma katika wizara ya afya .Miongoni mwa masuala ambayo yameibuliwa ni haja ya serikali za kaunti na serikali ya kitaifa kuimarisha huduma za matibabu katika hospitali na kuhakikiha madawa ya kutosha katika hospitai hizo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive