Onyesho kubwa zaidi duniani la tuzo za muziki linafanyika Jumapili hii huko Los Angeles, Marekani. Na kwa mara ya pili, tuzo za Grammys zitakuwa na kitengo cha muziki bora wa kiAfrika. Hata hivyo, mwaka huu, orodha ya walioteuliwa imezua mjadala kuhusu ushirikishwaji wa aina tofauti za muziki kutoka barani Afrika. Mkurugenzi mkuu wa Grammys, Harvey Mason Jnr. anakiri kuwa taasisi hiyo haina waamuzi wenye ujuzi wa kutosha wa aina nyingine za muziki wa Afrika.
13 Mar 2025
- KMPDU has congratulated Seme Member of Parliament Dr. James Nyikal on his election as the new Chairman of the National Assembly’s Departmental Committee on Health.
13 Mar 2025
- Former Nyandarua County Governor Daniel Waithaka has been convicted of procurement irregularities and failing to comply with procurement laws during his tenure as county boss.
13 Mar 2025
- Pupils at Toi Primary School were Thursday treated to a meal of Chapati courtesy of President William Ruto and Nairobi Governor Johnson Sakaja during their development tour of the area.
13 Mar 2025
- The National Police Service (NPS) has launched investigations into the death of a foreign national who was knocked down by President William Ruto’s motorcade along Ngong Road on Thursday afternoon.
13 Mar 2025
- More than 10 business premises were reduced to ashes after a fierce fire broke out at the Limuru Town bus park in Kiambu County on Thursday morning.