Usalama wa wanafunzi

  • | Citizen TV
    1,002 views

    Rais William Ruto ameagiza shule 13 zilizofungwa kutokana na ukosefu wa usalama katika kaunti za Baringo, West Pokot and Elgeyo Marakwet, zifunguliwe katika chini ya miezi mitatu. Akizungumza katika eneo la tot. Rais Ruto amesema kuwa serikali imeweka mikakati thabiti kuhakikisha kuwa familia zilizofurushwa kutoka kwao zimerejea katika kipindi hicho.