Ushahidi unaoonesha Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23

  • | BBC Swahili
    38,604 views
    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wanaasema kuwa jeshi la Rwanda "linaongoza operesheni za M23", wakielezea jinsi makurutu wa M23 wanavyopewa mafunzo chini ya usimamizi wa Rwanda na kupewa silaha za hali ya juu za Rwanda. Je ushahidi unasemaje dhidi ya tuhuma hizi? @martha_saranga anaelezea zaidi ✍: @ian_wafula Unaweza kutazama makala hii kwa urefu zaidi katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #DRC #Rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw