Viongozi Kilifi wahimizwa kushirikiana

  • | KBC Video
    21 views

    Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Kilifi wanamshutumu mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa barabara Aisha Jumwa kwa kumhujumu gavana wa kaunti hiyo Gideon Mung’aro. Wakiongozwa na mwakilishi wadi ya Shella, Twahir Abdulkarim viongozi hao walihoji ni kwa nini Aisha Jumwa anajaribu kugawanya viongozi katika kaunti hiyo badala ya kuchangia maendeleo katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive