Mikakati ya shule 2025

  • | Citizen TV
    357 views

    Wizara ya elimu itatoa jumla ya shilingi bilioni 48 kwa shule za msingi, sekodari msingi na zile za upili ili kufadhili masomo kw amuhula wa kwanza. Waziri wa elimu Julius Migos amesema kuwa matayarisho ya muhula wa kwanza yako shwari huku akiagiza shule ambazo bado hazina madarasa au hazijakamilisha ujenzi wa madarasa ya gredi ya tisa kutafuta maeneo mbadala ya kusomea.