Mgogoro wa Sudan Unatajwa kama "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kurekodiwa"na sasa Vita vinavyoendelea kati ya vikosi vya serikali na waasi wenye silaha nchini Sudan vimehamia kwenye mji wa El Fasher, mji mkuu wa Kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa nchi.
Wiki iliyopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilisema kuwa watu 70 waliuawa katika shambulizi lililotekelezwa na Vikosi vya kukabiliana na dharura (RSF) katika hospitali ya mji huu.
Lakini je mgogoro huu umeanzia wapi? Wahusika wakuu ni nani? Munira Hussein anaeleza zaidi.
-
Video: Bosha Nyanje
-
-
-
#bbcswahili #sudan #machfukosudani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
13 Mar 2025
- KMPDU has congratulated Seme Member of Parliament Dr. James Nyikal on his election as the new Chairman of the National Assembly’s Departmental Committee on Health.
13 Mar 2025
- Former Nyandarua County Governor Daniel Waithaka has been convicted of procurement irregularities and failing to comply with procurement laws during his tenure as county boss.
13 Mar 2025
- Pupils at Toi Primary School were Thursday treated to a meal of Chapati courtesy of President William Ruto and Nairobi Governor Johnson Sakaja during their development tour of the area.
13 Mar 2025
- The National Police Service (NPS) has launched investigations into the death of a foreign national who was knocked down by President William Ruto’s motorcade along Ngong Road on Thursday afternoon.
13 Mar 2025
- More than 10 business premises were reduced to ashes after a fierce fire broke out at the Limuru Town bus park in Kiambu County on Thursday morning.