Vurugu kanisani Machakos baada ya waumini kutaka uwazi wa matumizi ya pesa

  • | NTV Video
    1,983 views

    Vurugu zimeshuhudiwa leo katika kanisa la jeshi la wokovu Machakos, baada ya waumini wa kanisa hilo kufukuzwa walipowataka viongozi wao kuelezea bayana jinsi pesa zao zinavyotumika.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya