Wasiwasi waibuka kuhusu kujiandaa kwa mpito wa gredi ya 9

  • | KBC Video
    51 views

    Baadhi ya viongozi wa kisiasa na wadau katika sekta ya elimu katika kaunti ya Nandi, wameibua wasiwasi kuhusiana na utayari wa serikali wa kufanikisha mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9 hadi shule za Senior Sekondari, ulioko chini ya mtaala mpya wa masomo-CBC mwaka ujao. Wakiongozwa na mbunge wa Aldai Marianne Kitany na gavana wa Nandi Stephen Sang, viongozi hao walihoji utayari wa shule, walimu na sera zilizopo katika utekelezwaji wa mpito huo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive