Watu watano wanaendelea kuhojiwa leo na kamati ya uteuzi ya IEBC

  • | Citizen TV
    92 views

    Kamati ya uteuzi wa makamishna wa tume ya uchaguzi nchini IEBC inaendelea na mahojiano ya kuwasaka watu watakaojaza nafasi sita za makamishna