Nanga: Mchekeshaji bora wa kiume Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,074 views
    Nanga maarufu kama Babu Kaji amekuwa akifanya sanaa ya vichekesho kwa muda mrefu sasa ambapo hivi karibu aliibuka mshindi wa tuzo ya mchekeshaji bora wa kiume nchini Tanzania. Je alistahili kupata tuzo hiyo? Je, tuzo zitasaidia kukuza tasnia ya uchekeshaji nchini Tanzania? - Omary Mkambara atazungumza na Nanga muda mfupi kuanzia sasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw