Ujenzi wa jumba la mikutano la kimataifa la Bomas

  • | K24 Video
    52 views

    Baraza la mawaziri lililoongozwa na Rais William Ruto leo ,limeidhinisha kuanza kwa ujenzi wa jumba la mikutano la kimataifa la Bomas. Ujenzi huo umepangwa kuzinduliwa katika muda wa wiki mbili. haya yanjiri huku kukiwa na utata kuhusu madai ya kuuzwa kwa jengo la Bomas, ambapo aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua alidai kuwa eneo hilo limeuziwa mfanyabiashara kutoka uturuki.