UN yasema maoni yake ni kila inapotokea fursa IDPs warejeshwe makwao (Sehemu ya pili)

  • | VOA Swahili
    56 views
    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Matifa UN Jean- Pierre La Croix anaeleza kuwa katika baadhi ya maeneo, kiuhakika, tayari wanayo hali inayoweza kusaidia kurejea kwa Watu Waliokoseshwa Makazi IDPs makwao. Na tumekuwa tukijadili hilo pamoja na gavana wa Ituri na,msimamo wetu ni kuwa, tulazimika kila panapotokea fursa kwa IDPs kurejea makwao na imekuwepo fursa hiyo kwa idadi niliyopewa ya IDPs huko Ituri imepungua kutoka milioni 1.8 hadi 1.3. Picha na Mahojiano na Austere Malivika #naibu #katibumkuu #un #jeanpierrelacroix #drc #goma #ituri #idps #wakimbizi