Masuala muhimu yanayoibuliwa na viongozi wa dunia katika mkutano wa UNGA
Wiki hii, viongozi wa dunia watatumia jukwaa la kimataifa kupaza sauti zao kuhusu nchi zao, katika mwaka uliogubikwa na migogoro mbalimbali, changamoto za haki za binadamu, maendeleo na mabadiliko ya hali ya hewa, ikiwa ni suala la juu.
Wakati ambapo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaashiria kuwa watu bilioni 3.6 wanaishi katika maeneo yanayohusika na mabadiliko ya hali ya hewa.
Siku ya Jumapili, wakati wa mkutano wa Future Summit, wajumbe 193 wa chombo hicho cha dunia waliidhinisha mkataba wa “Pact for the Future”.
Waraka huo unakusudia kuyaunganisha mataifa katika kutatua changamoto mbalimbali kuanzia mabadiliko ya hali ya hewa na akili mnemba (AI) hadi migogoro inayoenea na kuongezeka ukosefu wa usawa na umasikini – na kuboresha maisha ya watu zaidi ya bilioni 8 duniani.
Mkataba huo wenye kurasa 42 ulipitishwa Jumapili wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa “Summit of the Future”, ambao uliendelea siku ya Jumatatu huku viongozi kutoka ulimwenguni kote wakitoa maoni yao kuhusu changamoto mbalimbali zinazoikabili dunia.
.
Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa – ulifunguliwa chini ya kauli mbiu: Kutomuacha yeyote nyuma: Kuchukua hatua pamoja kwa ajili ya kusukuma mbele amani, maendeleo endelevu na utu wa binadamu kwa ajili ya vizazi vya sasa na baadaye.
Rais wa Marekani Joe Biden ametoa hotuba yake ya mwisho Jumanne kabla ya kumaliza muhula wake wa urais.
#unga #mkutanomkuu #mataifa #marekani #newyork #un #viongozi #voa #voaswahili
21 Apr 2025
- President Ruto hopes to achieve several key economic milestones from his China trip.
21 Apr 2025
- The dollar sell-off on Monday has many experts worried.
21 Apr 2025
- According to the journalist and activist, the officer cocked his gun and was ready to shoot him.
21 Apr 2025
- Activist Boniface Mwangi says he was violently assaulted and robbed by police officers in Nairobi earlier this month.
21 Apr 2025
- Police in Kabarnet, Baringo County, on Monday found the body of a boda boda rider who had been missing since Thursday.
21 Apr 2025
- Some cardinals who are being talked about as "papabili" to succeed Pope Francis, whose death at the age of 88 was announced by the Vatican on Monday.
21 Apr 2025
- The Vatican, headquarters of the Catholic Church, is the smallest state in the world, with its own newspaper, national anthem in Latin and supreme leader -- the pope.
21 Apr 2025
- President William Ruto will jet out of the country for his highly anticipated state visit to China on Monday night, April 21, 2025. In a statement by State House Spokesperson Hussein Mohamed, the head of state is expected to use the visit to the Asian…
21 Apr 2025
- President William Ruto will depart the country Monday evening for a State Visit to the People’s Republic of China.
21 Apr 2025
- President Ruto hopes to achieve several key economic milestones from his China trip.
21 Apr 2025
- African leaders praised the "legacy of compassion" and "commitment to inclusivity" of Pope Francis as they joined global mourning over his death on Monday.
21 Apr 2025
- Each of the 266 Popes steered the course of history in Vatican in their unique way.
21 Apr 2025
- The dollar sell-off on Monday has many experts worried.