Familia ya jamaa aliyeuawa inadai haki

  • | Citizen TV
    858 views

    Familia moja eneo la Siribo huko Butula, kaunti ya Busia, inalilia haki baada ya jamaa yao kuuawa kwa kudungwa visu na watu ambao wanadaiwa kusalia huru licha ya kutambulika