Wakazi wa Todonyang wapata maboti na nyavu

  • | Citizen TV
    596 views

    Wakaazi wa Todonyang eneo Bunge la Turkana kaskazini, mpakani mwa Kenya na Ethiopia ambao waliathirika na mauaji yaliyotekelezwa na wavamizi kutoka ethiopia, wamepata afueni baada ya kaunti ya Turkana kuwanunulia boti Kumi na nyavu za uvuvi