Watu wawili wamejeruhiwa katika eneo la Ndhiwa

  • | Citizen TV
    419 views

    Watu wawili walijeruhiwa baada ya mtafaruku kuibuka katika shule ya msingi ya Buche kaunti ya Homa Bay wakati wa uchaguzi wa mashinani wa chama cha ODM