Zaidi ya familia 200 zimeachwa bila makazi Msambweni

  • | Citizen TV
    1,409 views

    Zaidi ya familia 200 zinahangaika baada ya nyumba zao kubomolewa katika eneo la Gazi huko Msambweni kaunti ya Kwale