Familia moja mjini Kitale yalilia haki baada ya mvulana wao kuuawa kwa kudungwa kisu na mpenziwe

  • | Citizen TV
    1,788 views

    Familia moja mjini Kitale inalilia haki baada ya mvulana wao aliyekuwa anahitimu taaluma ya uuguzi kuuwawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa na mpenziwe katika eneo la Kibomet, viungani mwa mji wa Kitale.