Huzuni Luanda baada ya watu wawili kufariki kwa kula chakula cha sumu kanisani

  • | NTV Video
    134 views

    Huzuni imekumba kijiji kimoja huko Luanda, kaunti ya Vihiga, baada ya watu wawili kufariki kwa kile kinaaminika ni kula chakula kinachoshukiwa kuwa na sumu wakiwa kanisani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya