Maelfu wajitokeza kutumbuizwa na Sean Paul

  • | Citizen TV
    1,741 views

    Mwanamuziki wa kimataifa na mshindi wa tuzo la Grammy Sean Paul, alisisimua mashabiki waliojumuika katika ukumbi wa KICC kunengua viungo kwa miondoko ya nyimbo za dancehall .