Rais Ruto aendelea kukemea siasa za ukabila nchini

  • | Citizen TV
    3,878 views

    Rais William Ruto ameendelea kukemea siasa za ukabila huku akionekana kuendelea kumzomea aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua . Kwenye ziara yake eneo la Taita Taveta hii leo, Rais amewataka wakenya kuendelea kudumisha amani huku akipigia debe miradi yake ya maendeleo.