Tume ya uwiano inasema matamshi yake yachochea

  • | Citizen TV
    4,693 views

    Tume ya uwiano na Utangamano wa kitaifa NCIC imemuonya Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua dhidi ya kuendelea kutoa matamshi ya chuki na yanayoweza kuleta uhasama nchini