Watu 12 wamefariki kufuatia mafuriko

  • | Citizen TV
    890 views

    Watu 12 wamefariki huku familia zaidi ya elfu tatu zikiathirika na mafuriko katika sehemu mbalimbali nchini. Kaunti za Busia na Kisumu ndizo zilizoathirika zaidi na mafuriko ya msimu huu. Katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo amesema kuwa serikali iko mbioni kutafuta suluhu ya kudumu ili kuwapunguzia waathiriwa dhiki ya mara kwa mara.