Watu 5 wafariki baada ya kuangukiwa na ukuta Jomvu, Mombasa

  • | Citizen TV
    1,647 views

    Watu watano wamefariki baada ya kuangukiwa na ukuta katika eneo la Miritini kaunti ya Mombasa. Waathiriwa waliangukiwa na ukuta huo wakiwa wamejikinga mvua walipokuwa wamehudhuria mazishi. Watu watatu waliojeruhiwa wanaendelea kutibiwa katika hospitali ya Makadara.