| MATUKIO 2024 | Maafa ya Maandamano

  • | Citizen TV
    9,173 views

    Yalikuwa maandamano ya kipekee kuwahi kufanyika nchini. Maandamano ya vijana wa rika la Gen Z ambayo yalitikisa taifa, na kutajwa kuwa yasiyo na uoga, ukabila na bila viongozi wakati huo. Ni maandamano ambayo vijana walisema walisimama kupinga sera mbovu za serikali ya Rais William Ruto. Kwenye msururu wa taarifa zetu maalum, mwanahabari wetu Serfine Achieng' Ouma anaangazia machungu na ghadhabu za waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano ya Gen-Z.