Kamati ya fedha yataka EACC ichunguze visa vya ufisadi Kajiado

  • | Citizen TV
    277 views

    Kamati ya fedha na mipango ya serikali katika kaunti ya Kajiado imeitaka tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC kufika katika kaunti hiyo na kufanya uchunguzi kuhusu madai ya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ya kaunti. imedaiwa kuwa kuna miradi ambayo kaunti inadai imekamilishwa ili hali bado haijakamilika. Wakizungumza kwenye hafla ya kuwahusisha wananchi katika wadi 25 kuhusu mpango wa fedha wa mwaka wa 2025/26 viongozi wa kamti ya fedha walikosoa utendakazi wa mawaziri katika kaunti.