Serikali yaimarisha juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Kala-Azar katika kaunti ya Wajir

  • | K24 Video
    51 views

    Serikali sasa imeimarisha juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Kala-Azar katika kaunti ya Wajir.Takwimu mpya zinaonyesha idadi ya vifo imefikia 25, na kumekuwa na zaidi ya visa 600 vya maambukizi, wengi wao wakiwa watoto.Maabara ya kuhamishika sasa yanatumiwa kusaidia uchunguzi wa mapema katika vituo vya afya ambavyo vimejaa kupita kiasi.