Wakaazi wa Lorugum Loima walalamikia kutofaidi mradi wao wa maji safi

  • | Citizen TV
    314 views

    Wakaazi wa vijiji sita miongoni mwao Legio na Nang'ordengo huko Lorugum Loima kaunti ya Turkana, wanalalama kuwa hawanufaiki na kisima cha maji kilichochimbwa kusaidia vijiji hivyo miezi kadhaa iliyopita.